Programu ya Google Home hukusaidia kunufaika zaidi na Gemini kwenye Home.
Angalia muhtasari wa hali ya nyumba yako Programu ya Google Home imebuniwa kukuonyesha hali ilivyo nyumbani mwako na kukuarifu kuhusu mambo ambayo huenda umeyakosa.
Fuatilia mambo muhimu Muundo ulioboreshwa na mpangilio uliorahisishwa hukusaidia kuweka vifaa vyako kwenye vikundi katika dashibodi na kusogeza katika mipangilio yako kwa urahisi. Pia unaweza kuangalia nyumba yako wakati wowote.
Changanua matukio ya kamera kwa haraka Mwonekano wa moja kwa moja wa kamera pamoja na kiolesura cha historia hufanya iwe rahisi kuona kilichotokea.
Tafuta au uulize kuhusu nyumba yako Dhibiti nyumba yako ukitumia mbinu mpya. Sema tu kile ambacho ungependa vifaa vyako vifanye ukitumia Gemini kwenye Home.
* Huenda baadhi ya bidhaa na vipengele visipatikane katika maeneo yote. Unahitaji vifaa vinavyooana.
Ilisasishwa tarehe
14 Okt 2025
Mtindo wa maisha
Usalama wa data
arrow_forward
Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine6
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama
Angalia maelezo
Ukadiriaji na maoni
phone_androidSimu
watchSaa
laptopChromebook
tablet_androidKompyuta kibao
4.1
Maoni 3.34M
5
4
3
2
1
Ayubu Deus
Ripoti kuwa hayafai
Onyesha historia ya maoni
16 Mei 2024
App is good
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Mtu anayetumia Google
Ripoti kuwa hayafai
15 Machi 2019
buree
Watu 15 walinufaika kutokana na maoni haya
Swedi Bernadi Anzuruni Ishimanga
Ripoti kuwa hayafai
29 Novemba 2021
Good app
Watu 7 walinufaika kutokana na maoni haya
Vipengele vipya
Huwa tunaboresha programu kwa maboresho, marekebisho ya hitilafu na vipengele vipya katika kila toleo. Angalia yaliyo mapya: g.co/home/notes